Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

Yeye alianza kujitenga na wewe,ukikubali kuwa nae tena utakuwa umeonyesha udhaifu mkubwa sana na atakuonyesha dharau zaidi ya hapo maana ameshakusoma kuwa huna msimamo
Upendo=udhaifu...meacheni dogo
 
huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati
Uliona akimfokea?
sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Umedakwa na drama zake
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana
Unajisikia unayajua

Lea mtoto wa mwenzako ukitaka then apate wa pili nje pia ulee
 
Ukweli n kuwa huyo mwanamke hakupendi ila anakutumia kutatua shida zake.
 
Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Utakapofika umri wa miaka 45 ndio utajua ujinga uliofanya na utakukost utajuta na haitabadilika kitu.

Kila siku Natafuta Ajira anafundisha hapa nyie mmekalia simba na yanga.

Ona sasa. Huyo mwanamke anakuzidi akili. Na kawaida ya wanawake hawakai na wanaume maboya.
 
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Wanaume wanajaza mimba wewe unahuduamia.

Dunia hii ina maajabu sana.
Unapenda sana K ndio manaa demu anakuendesha anajua wewe huwezi kuchomoka.
 
Wanaume bwana 😂😂😂Eti hana msaada 🙄
Nikwambie tu ndugu yangu huyo dada umsaidie au usimsaidie ataendelea na maisha,hafi na mwanaume akishamtia mimba mwanamke na akazaa hao wameshatengeneza mahusiano ya kudumu. Jambo lingine shida zinasahaulika akirudi hewani atakuona fala vilevile.
 
Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
We jamaa unatupiga kamba🤣🤣🤣
 
Good comment
 
Sio pombe tu ndio kilevi, Kuna vilevi vingine unapaswa kuacha au kujifunza kuacha.
 
Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.

Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"

Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..

Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.

Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali

Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.

Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.

Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Bro unamsameheje huyo MMBWA aliyekuonesha dharau Kiac hicho , embu jifikirie mara mbili usituangushe ✅
 
Usimzuie Mungu anapofanya KAZI take ya uungu ya kuwaadhibu watu hadi akili zao zikae saw sawa!!

Huyo unamnyima nafasi ya kujifunza kuwa mja mpya!ungemuacha !
 
Back
Top Bottom