Lambo jini
Senior Member
- Aug 28, 2018
- 198
- 235
Kwenye ukuaji wako hujawai kufundishwa kuwa mwanaume wewe ni simp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweleze dogo hahahaKwa hiyo ndo umeona mapenzi yanauma kisa ka scene kama hako, watu tumepigwa matukio na bado hatukomi mzee baba
Upendo=udhaifu...meacheni dogoYeye alianza kujitenga na wewe,ukikubali kuwa nae tena utakuwa umeonyesha udhaifu mkubwa sana na atakuonyesha dharau zaidi ya hapo maana ameshakusoma kuwa huna msimamo
Uliona akimfokea?huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati
Umedakwa na drama zakesikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Unajisikia unayajuaSijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana
Mwamba kazingua kajigeuza kuwa utelezi wa kutelezeaMbn mnamponda sana mwambaaa
Madhara ya kuzaliwa 2004 halafu ukaanza mapenzi ya kihindi kujifanya GovindaUkweli n kuwa huyo mwanamke hakupendi ila anakutumia kutatua shida zake.
Utakapofika umri wa miaka 45 ndio utajua ujinga uliofanya na utakukost utajuta na haitabadilika kitu.Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Wanaume wanajaza mimba wewe unahuduamia.Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
We jamaa unatupiga kamba🤣🤣🤣Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
Good commentWanaume bwana 😂😂😂Eti hana msaada 🙄
Nikwambie tu ndugu yangu huyo dada umsaidie au usimsaidie ataendelea na maisha,hafi na mwanaume akishamtia mimba mwanamke na akazaa hao wameshatengeneza mahusiano ya kudumu. Jambo lingine shida zinasahaulika akirudi hewani atakuona fala vilevile.
Mkuu ndio umemwagia mitusi yoote hii🤣😅Mapenzi au mahusiano sio kwa wanaume wasienge kama wewe qumamaqo huna akilimqundu wa ngiri wewe soy boy nice guy.
Bro unamsameheje huyo MMBWA aliyekuonesha dharau Kiac hicho , embu jifikirie mara mbili usituangushe ✅Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.
Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"
Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema