Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

Kiufupi kaka hujitambui maana unachofanya ni saw na zero mind, halikukakataa,amekuletea namimba hiyo inamaanisha amekuona hujitambui kiasi ganiiiiii
 
Mr nice guy. Cha kufanya we msaidie kipindi hiki Cha ujauzito, akishajifungua atarudi kwa ampendae.

Hii ndo shida ya kutouzulia vikao vya wanaume.

Utaendelea kutumiwa Kama toilet paper.
 
Usije ukajipa moyo kuwa huenda ulimwacha akiwa na mimba yako.
 
Ukikua utaacha huo ujinga mkuu. Ni wakati wako ngoja upigwe matukio ukomae vizuri.

Ni suala la muda tu utaelewa mwanamke siyo kiumbe cha kuendekezwa.
 
Wanawake wanapenda sana wanaume wajinga,ujinga wa wazi wazi kabisa mkuu,pole kwa kukutukana,
 
Wewe utakuwa amekupa dawa mkuu, yaani mwanamke akufanyie tukio la kijinga namna hiyo bado unataka kumsamehe kwani hujapata mwanamke mwingine au yeye ana kitu gani cha maana ambacho wanawake wengine hawana? Hii so bure ashakuloga wewe. Kwanza ni aibu ata kueleza hili jambo, yaan leo hii unataka ety umsamehe, ety unamhurumia, ety mimba asitowe ulee mimba ya mwanaume mwenzio tena demu aliipata kwa kukusaliti wewe na maneno juu, Alikuona hufai ety bado unamtak anyaway hili ni tatizo syo wewe mkuu ila ni tatizo tu. Amua unavyoona wewe ni sahihi ili moyo wako uwe na amani.
 
Mwanaume harudii upumbafu
 
Fanya makosa yote ila sio kurudiana na mwanamke aliyekuletea jeuri kama una msaidia msaidie ila kurudiana atakupiga tukio zaidi ya hilo wanawake sio kwamba akili zao hazieleweki ila hawana akili kabisa.


Nikiripoti kutoka kwenye kikao cha wanaume mimi ni George maratu ITV.
 
Hiii mbona kasongoo.....kazi kwako akili kichwaniiii
 
Pambana na familia yako tuu maisha ni safari ndefu fedha uliyo nayo Leo itunze sana wekeza ikusaidie uzeeni kuliko kutawanya angalia wastaafu wengi maisha Yao yalivyo Leo ni magumu sana baada ya ustaafu.
 
Huenda jamaa n domo zegee na uyo ndyo demu wake wa kwanza kuonja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…