Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.

Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.

Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea mitandao ya kijamii huu wimbo nimeimba special kwaajili yako.
Pengine ndugu rafiki unaweza ukawa unaishi jirani naye hapo mtaani tafadhari kama hatoina mwonyeshe huu wimbo ni kwaajili yake. Twende kazi.

Your browser is not able to display this video.
 
Iko wapi hiyo "nyimbo"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…