Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Aende tu anapotaka akafungue madrasa yake,mziki ndio umeshamshinda.
 
Habari nikuwa mda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii Flani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzako na kutopewa promo na push ya kutosha kusambaza kazi zake hapa nchini hivyo kumkwamisha kimaendeleo.mpaka sasa bado kuna mazungumzo huku label ikisisitiza Hawezi ondoka bila kulipa hela. Huku upande wa msanii unadai hawezi toa hela kwani hakugharamiwa kama jinsi mkataba wake unavyosema. [emoji22] kwa staili hii hakuna mziki utakaoendelea hapa bongo.....
Najiuliza kuna nini huko?
Pia najiuliza yule msanii wa The Mafik aliyeuawa kunani uchunguzi wa kifo chake haukuendelea?
 
Kwanza mwanaume kutumia code ni udemu
Yan imagine kuna mwanamke anakuta bwana ake kaleta story ina mandhari za story za mange kimambi aisee, we are guys we talk about football, wrestling, war, How Jay stopped dealing and became successful in music lakin sio mambo ya kufungua kode, sio kwa ubaya ila what if he is a guy na ana mke na mke wake aje kujua ye ni mfunga code ili mashoti wazifungue aaah sio poa aisee…
 
Yan imagine kuna mwanamke anakuta bwana ake kaleta story ina mandhari za story za mange kimambi aisee, we are guys we talk about football, wrestling, war, How Jay stopped dealing and became successful in music lakin sio mambo ya kufungua kode, sio kwa ubaya ila what is he is a guy na ana mke na mke wake aje kujua ye ni mfunga code ili mashoti wazifungue aaah sio poa aisee…
🤣🤣🤣🤣
 
Yan imagine kuna mwanamke anakuta bwana ake kaleta story ina mandhari za story za mange kimambi aisee, we are guys we talk about football, wrestling, war, How Jay stopped dealing and became successful in music lakin sio mambo ya kufungua kode, sio kwa ubaya ila what is he is a guy na ana mke na mke wake aje kujua ye ni mfunga code ili mashoti wazifungue aaah sio poa aisee…
Learn to be wise nimewapa tu Code hayo mambo ya ushoga usinizoee kabisaa.
 
UPDATE:Ni kwamba huyo msanii now yupo njiani kuelekea kwenye show yake Moja huko mkoani lakini watu wake bado wanadiscuss na management kuhusu hili swala Inasemekana ni kwamba label hiyo haikutekeleza kilichokubaliwa katika mkataba wake. Mfano ni idadi ya nyimbo anazoruhusiwa kutoa kwa mwaka,Kiasi cha promotion anayopaswa kufanyiwa na label hiyo na maeneo anayoruhusiwa kwenda msanii huyo ikiwemo watu anaotakiwa kuonana nao ama kuwashirikisha kwenye kazi zake.lakini pia inasemekana kwenye maokoto yake alikuwa halipwi vzri na label hiyo yaani pesa yake haioni. Sasa management wanataka awalipe ndo wamruhusu asepe lakini yeye amekomaa kwamba hapaswi kutoa dau lolote kwani uongozi huo umekiuka makubaliano ya mkataba.
Duuh hizi label za siku hizi wasanii kazi wanayo, yani utasema mtu ameajiriwa kwenye majeshi, siyo kwa hizo restrictions
 
Back
Top Bottom