Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Wanaume mmekua wambeaa..yani mnavyotaka huo umbea kw kubembeleza mpk aibu...
 
Unakipaji cha kuimba taarabu na siyo uandishi
 
Update. Label Ina jaribu kmbembeleza msanii abaki kwa sababu amefanya vizuri huu mwaka hivyo amewaingizia faida, ila msanii na upande wake wanasisitiza anataka aondoke kwani kwa mda aliokaa hapo basi ulitosha sana kumfanya awe star.
 
Back
Top Bottom