Kuna msanii wa dancehall anayemzidi Patoranking?

kwa Africa ..pato hana mpinzani kabisaaaa"" Anatisha mnooo"" ila kuna ngoma Yke 1alifanya na elephant man..aliburuzwa kinyama
 
Umeisahau na Ile aliyoifanya na Ali Kiba
 
Pato Rankin alikuwa ni mchumba tu kwa kina Shabba Ranks, Chama Demus and Pliers, Buju Banton, Benie Man, Mad Cobra na wengine kule Jamaica
 
Mimi Timaya ni namba moja kwa afrika.
patoranking namuweka nafasi ya tatu.
 
jamaa yupo ana project yake ila naona kama imebuma hivi
Nakumbuka ngoma yake ya cheza nikuone, you are the 1 and only. Those days nikiwa free soul no majukumu na roll tu kwenye ndinga yangu ya kwanza.
Kweli wakati ukuta
 
Nakumbuka ngoma yake ya cheza nikuone, you are the 1 and only. Those days nikiwa free soul no majukumu na roll tu kwenye ndinga yangu ya kwanza.
Kweli wakati ukuta
ILe ngoma ambayo aliimba na juru daah ni ngoma kaLi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…