Kuna msemo unaosema "Mchawi akishamaliza kula watoto wa jirani, hugeukia watoto wake." Wana CCM tumejiandaaje baada ya majirani kuliwa?

Kuna msemo unaosema "Mchawi akishamaliza kula watoto wa jirani, hugeukia watoto wake." Wana CCM tumejiandaaje baada ya majirani kuliwa?

Lissu alishasema wakimaliza upinzan wataanza kutafunana wao kwa wo
 
HOTUBA YA MAGUFULI JUZI CHAMWINO IMEONYESHA WAZI KUWA BAADA YA KUWAMINYA WAPINZANI SASA KAZI NI KUWADHALILISHA NA KUWASIMANGA WABUNGE WA CHAMA CHAKE KWAKUWA AMEWAPA USHINDI WA WIZI
 
Back
Top Bottom