VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa ila kunichana anamtu naona inanikata heri angenidanganya tu yupo single.