VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
We kula nawa mikono sepa, hakuna dem wa peke yakoKwema wakuu, jana katika pitapita zangu nimekutana na mdada flan mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufka maskan nikamchk tumechat jana na leo nikajarbu kutupia ndoano imo sasa katika maongez kanichana anamtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kwel pisi nimeielewa ila kunichana anamtu naona inanikata heri angenidanganya tu yupo single.
kaka nipo single nataman niweke kambi, ko unanishaur vitu gan nizingatie?We kula nawa mikono sepa, hakuna dem wa peke yako
Usiweke kambi kwa mwanafunzi wa chuo, usithubutu!kaka nipo single nataman niweke kambi, ko unanishaur vitu gan nizingatie?
asanteyupo kwenye mchujo, so we endelea nae unaeza win
We dogo vipi wewe???kaka nipo single nataman niweke kambi, ko unanishaur vitu gan nizingatie?
Vaa condom mbili kwa pamoja, 🔥 bado ipoko unanishaur vitu gan nizingatie?
aliebeba mimba ndo mwenye mimbaMwisho wa siku unapewa mimba isiyo yako. So sad
Acha kumtisha,tuliweka kambi na sasa ndio wake zetu,mwache apambanie bahati yake kama kamwelewa.Usiweke kambi kwa mwanafunzi wa chuo, usithubutu!
Mimi nilishasema,mwanamke yoyote ambaye hajaolewa wala kutolewa mahali huyo yupo single bay default,haya wake za watu wanaliwa vzr tu.Hivi dunia ya leo kuna alie single?
Kula nyama nyamaza.
Wanaume hua tunafeli hapo sana, yn unaona kabisa kuna jamaa ameachwa kwa ajili yako afu unategemea na ww uwe wa kudumu kwake.We dogo vipi wewe???
Uweke kambi wakati unaona kabisa mwenzako ameshapigwa knock out na demu ameshatundika daluga?ndiyo kusema wewe mpaka hapo alarm kichwani haijalia kujua kwamba huyo ni malaya kama walivyo malaya wengine au!
Hahahahaha kijana anaenda kuwa ATM muda sio mrefuKwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa ila kunichana anamtu naona inanikata heri angenidanganya tu yupo single.
Mkuu kambi unaweka kwa mtu ambae hujui background zake kwamba liwalo na liwe sasa huyu kakueleza kabisa ana jamaa yake ila wewe umekubaliwa tu means anachotaka ni pochi yako na ukuni wako hana loloteAcha kumtisha,tuliweka kambi na sasa ndio wake zetu,mwache apambanie bahati yake kama kamwelewa.
Wee ,zingatia tuu zamu yako ya kula mbususu. Kama atakupea wee enjoy. Mambo ya mbususu yako leke yako yalishapitwa na wakati. Sasa ni mwendo wakushare tuuKwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa ila kunichana anamtu naona inanikata heri angenidanganya tu yupo single.
Huyo muongo wanawake wanatabia ya kusema kinyume chake akisema ameolewa inakua hajaolewa na akisema hajaolewa ana kuwa kaolewa, kwahiyo akili kichwani mwakokaka nipo single nataman niweke kambi, ko unanishaur vitu gan nizingatie?