Kuna msichana kanikubalia ila ameniambia ana mtu

utasubiri sana kumpata wa single,siyo mtu huwa wanawatu kwahiyo ni spidi yako tu uta-score
 
Mkuu kambi unaweka kwa mtu ambae hujui background zake kwamba liwalo na liwe sasa huyu kakueleza kabisa ana jamaa yake ila wewe umekubaliwa tu means anachotaka ni pochi yako na ukuni wako hana lolote
Sasa Mkuu mwenzangu ulitaka mwanamke atake nini kingine kwa mwamba
 
Wenye hela hawajibiwagi hivyo, kijana endelea kujitafuta.....
 
Malaya huyo, anakuandaa kisaikolojia kuwa akishaona kwako hakuna maslahi, anakukwepa ukianza mtafuta na umeshakolea atakwambia si alikwambia kuwa ana mtu wake au? [emoji848]
 
Kwan we nyani ??sio mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…