Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wapendwa,
Nilitoa tangazo langu hapa la kutafuta mke mwema. Ukweli nilipata watu wengi walio positive mainded ila shida ikawa ni Dini.
Mimi ni muislam hivyo nahisi nikipata msichana wa kiislam aliyesoma vizuri (mfanya biashara au muajiriwa) nitamfanya awe mke wangu.
Napendelea awe na umri wa miaka kati ya 30 - 34.

- Awe mrefu wa wastani (150 hadi 165cm)
- Akiwa na bantu figure ni added advantage
- Akiwa pia mzaliwa wa kilimanjaro ni added advantage
- Kama anaweza kuongea kichagga cha kishumundu au Kipare cha ziwa jipe na kiingereza cha Marekani pia nitapenda sana.
- Awe presentable na anaye weza kuongea mbele ya watu
- kama anaweza kuendesha Vokswagen model ya 1972 ni poa sana kwani mimi napenda magari ya zamani