Kuna msichana muislam anayetafuta mume?

Kuna msichana muislam anayetafuta mume?

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
20
Wapendwa,
Nilitoa tangazo langu hapa la kutafuta mke mwema. Ukweli nilipata watu wengi walio positive mainded ila shida ikawa ni Dini.
Mimi ni muislam hivyo nahisi nikipata msichana wa kiislam aliyesoma vizuri (mfanya biashara au muajiriwa) nitamfanya awe mke wangu.
Napendelea awe na umri wa miaka kati ya 30 - 34.
  • Awe mrefu wa wastani (150 hadi 165cm)
  • Akiwa na bantu figure ni added advantage
  • Akiwa pia mzaliwa wa kilimanjaro ni added advantage
  • Kama anaweza kuongea kichagga cha kishumundu au Kipare cha ziwa jipe na kiingereza cha Marekani pia nitapenda sana.
  • Awe presentable na anaye weza kuongea mbele ya watu
  • kama anaweza kuendesha Vokswagen model ya 1972 ni poa sana kwani mimi napenda magari ya zamani
Kama yupo mwenye sifa naomba ani pm nitampa namba yangu ya BBM au Whats up tuchat
 
Ee bana eeee kweli bahati ya mtu usilalie mlango wazi lol..

Nina sifa zote ila nakosa hyo ya
Umri na ya pia sipo presentable !

Je naweza kuleta maombi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ee bana eeee kweli bahati ya mtu usilalie mlango wazi lol..

Nina sifa zote ila nakosa hyo ya
Umri na ya pia sipo presentable !

Je naweza kuleta maombi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

unaweza kuendesha na voksiwagen ya 1972? hongera lol
 
Hii bahati ni yangu....yani hapa on point. Umepata mke! naandaa CV yangu sasa hivi meanwhile shusha zako hapa hapa. Smile, Preta ndo hivyo kakaenu wa kichagga anavuta jiko karibu.
 
Last edited by a moderator:
Hii bahati ni yangu....yani hapa on point. Umepata mke! naandaa CV yangu sasa hivi meanwhile shusha zako hapa hapa. Smile, Preta ndo hivyo kakaenu wa kichagga anavuta jiko karibu.

Hadi bito unaweza kuendesha??
Hongera mdada!!
 
Duh hayo masharti mbona magumu utafikiri unaomba kazi Ikulu.
 
HI Imaney,
Kwa kukosa sifa ya umri, nahisi hutafaa kwani nahisi ni vizuri kuchukua mtu mnaye endana na sio kuonekana kama baba na mtoto...
I
 
Back
Top Bottom