Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Yan 2030Kuna tetesi pia kuwa hata Nchi atapewa yeye baada ya Mama kumaliza muda wake. Ngoja tuone
PMUteuzi kwenye nafasi gani ili utabiri wako ukamilike...
Ila Mzee ni mstaarabu Sana,Yule waliosema ni dalali wa viwanja?
Aisee.
Natania Tu hapa, pumzikeni Kwa AmaniAisee.
Sana ni mzee wa busara sio kina mzee mpiliIla Mzee ni mstaarabu Sana,
mzaa mzaa hutumbua usaha..hapa kuna kitu hata kama unatania..naendelea kusubiri.Natania Tu hapa, pumzikeni Kwa Amani
Shika adabu yakoSana ni mzee wa busara sio kina mzee mpili
Muda wa Mama unaisha 2025Yan 2030
Sawa mkuuShika adabu yako