Kuna mstari mwembamba sana unaomtofautisha kahaba, mchawi na jambazi

Kuna mstari mwembamba sana unaomtofautisha kahaba, mchawi na jambazi

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hellow!

Kwa mwonekano wa nje, hawa watatu kuna wakati huwa wanapingana lakini ni kitu kimoja.

1. KAHABA.
IIli awapate waume kirahisi, atahitaji uchawi, awaroge wote wamuangaliapo Ili wafungwe fikra na kumtamani Kisha awatie kifungoni na kusahau ndoa zao au kuwasahaulisha vijana kuoa. Huu nao ni uchawi tu, alalaye na KAHABA lazima amerogwa kwanza. Na kuibiwa kwa KAHABA ni jambo la kawaida sana hivyo kuwafanya hawa watatu kuwa marafiki ingawa SI moja kwa moja.

Kuna sehemu utawakuta makahaba barabarani, ukiwapita ukaingia gizani njia hiyo hiyo, utakabwa na vibaka / majambazi, ndipo ujiulize, kwann vibaka hawawaibii makahaba , ndipo utajua ni wamoja hao.

Na muda wa kwenda kazini mchawi, KAHABA na jambazi ni ule ule, usiku, hawana ugomvi.

2. MCHAWI.

Ili mchawi akuroge, lazima aibe, achukue kucha, nywele,kucha, kivuli bila idhini yako, ni ujambazi huo. Ili akuroge, ni shart azini na wewe, ndio sababu ya kuota ndoto za kuzini ndotoni, ni tukio halisi, na mchawi ni sharti awe nusu uchi au uchi kabisa awapo kazini, jambo hili linamuweka kufanana na KAHABA, lazima wawe uchi.

3. JAMBAZI.

Ili akwepe risasi za polisi atahitaji uchawi, Ili apotee wanaomtafuta kimazingara ni shart atafute uchawi. Na akipata pesa Katika ujambazi, lazima amtafute KAHABA Ili kujifurahisha. Na hapo rafiki mkubwa ataalikwa POMBE. Ndipo ujue bar ni sehemu hatari kiasi gani.

NB: Ukikuta marafiki hawa watatu wakigombana, jua ni geresha tu, ni watoto wa baba mmoja hao, Kaa pembeni, usiingilie ugomvi wao.

Ushauri.
Kwakuwa hakuna aliyezaliwa jambazi,mchawi au KAHABA, Yesu awaita nuruni mgeuke na kuifuata Nuru Ili muwe wana wa Mungu.

Ikiwa unapenda kuacha UOVU huu hapo juu, fuatisha sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE,UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN

Karibuni 🙏
 
Huwezi kushinda giza na matendo yake au kazi zake kama hizo ulizozianisha Hapo juu kama uchawi, ukahaba na mengineyo kwa maombi pekee yake, msingi thabiti na wa kwanza wa kushinda giza na matendo/kazi zake zote ni kuifahamu Kweli halafu hayo mengine yanafuata B'se kuifahamu Kweli inatusaidia hata kuelewa jinsi ya kuomba sawa sawa na Kweli yenyewe

Yohana 8.32

"tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru"

kama vile uendapo dukani kununua kifaa cha umeme au moto Eg gari, jokofu, TV na vinginevyo lazima utakuta na kitabu kinachokupa muongozo wa jinsi ya kukitumia hicho kifaa ili kiweze kufanya kazi kwa ufanisi uliokusudiwa

biblia ndio "manual" ya kuishi kwetu ndiyo inaitwa "Kweli" hutupa muongozo wa jinsi ya kuishi juu ya uso wa nchi hi tuliyopewa na mwenyezi Mungu ili tuweze kuishi kwa ufanisi ambao MUNGU mwenyewe alikusudia alipokuwa akituumba kwa mfano na sura yake

Hakika tumepewa KUISHI lakini tumefichwa mantiki ya kuishi kwetu, KUISHI ni kutenda na katika kila Tendo kuna nadharia ya kutenda hilo tendo na ndiyo tuliyofichwa na hakika ndio kweli yenyewe ambayo MTU anapoijua na kuifahamu automatic giza na matendo yake yote na kazi zake zote haliwezi kumfikia Ndio anakuwa huru kama YESU alivyosema katika kitabu cha Yohana 8:32 (i.e nuru hukaa ndani ya mtu hivyo giza kamwe haliwezi kupata nafasi)
 
Sasa Nuru kwa jambazi ,KAHABA na mchawi aitoe wapi?

Nilichofanya ni kuwambia DHAMBI zao wazijue Kisha waamue kuja nuruni waokolewe.

Haya mambo ya kuonea aibu DHAMBI ndio yanasababisha wanakwaya wanapanda madhabahuni na nguo za kikahaba.
 
Haya yote ni Kweli ila Mimi nilijaribu kuelezea katika nyanja ambayo MTU hataki giza pamoja na matendo yake yote na kazi zake zote zimpate na kumletea madhara binafsi njia pekee ni kuifahamu Kweli 👉 MTU mwenye Kweli giza pamoja na matendo yake yote na kazi zake kama ujambazi, uchawi, ukahaba haziwezi kumfikia kwani Kweli ni nuru na mahali penye nuru giza haliwezi kuwepo kamwe hiyo Ndio ilikuwa mantiki yangu

MTU mwenye kweli hawezi kushikwa na kahaba, mwenye Kweli Hawezi kushikwa na jambazi kamwe labda Kweli yenyewe iluhusu jambazi kumfikia alie na Kweli , MTU mwenye Kweli mchawi na uchawi kamwe haviwezi kumfikia na kumdhuru

Mwanakwaya kuvaa nusu uchi kiukweli mtu wa aina hi Bado yupo gerezani hafahamu ni Mungu wa aina Gani anaemtukuza katika kuimba kwake, Ndio maana Yesu akasema _"mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru" akipata NEEMA ya kuifahamu Kweli hakika atavaa mawazi ya kuusitiri mwili wake b'se atafahamu kwamba 👉 mwili wake ni hekalu la uwepo wa Mungu hivyo atausitiri huo mwili Ili kumpa nafasi MUNGU kuonekana kupitia yeye na kupata sifa wala sio yeye kuonekana na kusifiwa
 
Back
Top Bottom