Kuna Mtanzania amefanikiwa kutengeneza Metaverse?

Kuna Mtanzania amefanikiwa kutengeneza Metaverse?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
 
Kama yupo hebu ajitokeze hapa tumpe support. Siku hizi virtual real estates ni biashara kubwa sana. Angalia tu mfano Decentraland. Bei za virtual lands huko hazikamatiki.
 
SASA KAMA INGEKUWA INAWEZEKANA SI UNGEMUONA HATA MTANZANIA MMOJA NAKUJIBU UNASEMA MZAHA
Wameshafanya wengi sana Nimetoa tu mfano wa Decentraland. Au labda hujui Metaverse ni kitu gani
 
Wameshafanya wengi sana Nimetoa tu mfano wa Decentraland. Au labda hujui Metaverse ni kitu gani
HAO WENGI SIO KWA TANZANIA HII LAKINI NA INGEKUWA NI WENGI USINGEKUJA KUULIZA HAPA ILI UPATE FAHAMISHWA
 
Hili la kusema nambo ya kiroho nalo ni chanzo cha utapeli. Roho ni nini???(Imaterial, non-existent, ghost,spirit)........?????????
 
ROHO ni nini?

Roho Ni Spiritual Educational ambayo ni lazima ukiwa msomi uwe nayo maana Kuna mengine yanakuwa ni Ngumu kuyapatia ufumbuzi

Na Kuna Pande mbili za rohoni Ufalme wa Yesu na Huyo Shetani
 
Game la nyoka hatuwezi kutengeneza we unaongelea metervese
 
Hili la kusema nambo ya kiroho nalo ni chanzo cha utapeli. Roho ni nini???(Imaterial, non-existent, ghost,spirit)........?????????
Lakini unajua hata universal imetokana na spiritual

Hivi unajua iliko ndege ya Air Malaysia Mpaka Leo?
 
Jibu lako halitoshi. Roho ni nini na inaishi wapi.
Roho Ni Spiritual Educational ambayo ni lazima ukiwa msomi uwe nayo maana Kuna mengine yanakuwa ni Ngumu kuyapatia ufumbuzi

Na Kuna Pande mbili za rohoni Ufalme wa Yesu na Huyo Shetani
nyenye dimension hii yetu au nyingine? Usilete humu majibu ya kule Sunday school au Sabbath school tafadhali
 
Back
Top Bottom