Kuna Mtanzania amefanikiwa kutengeneza Metaverse?

Kuna Mtanzania amefanikiwa kutengeneza Metaverse?

Lakini unajua hata universal imetokana na spiritual

Hivi unajua iliko ndege ya Air Malaysia Mpaka Leo?
Mbona husemi spiritual ni nini? Siku hizi utapeli uarltumia neno hilo kupiga pesa za wajinga
 
Mambo ya kiroho!!!Mhubiri:Naona katika ulimwengu wa kiroho malaika wakishuka kwenye mkutano huu......bla blaa blaaaaa. Ujinga na utapeli mtupu.
 
Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
Hivi unajua gharama ya Facebook iliyotumika kutengeneza MetaVerse? Hivi unajua hata MetaVerse ni nini? Ni product ya Facebook au Meta these days. Ni billions of US dollars. Budget ya taifa zima kwa miaka kadhaa.

Inshort this entire thread is nonsense.
 
Game la nyoka hatuwezi kutengeneza we unaongelea metervese
Mkuu unaposema "sisi" unatakiwa uwe specific kati ya wewe na nani. Mimi ni developer na natengeneza high quality advanced video games kila siku 3D na 2D. Nothing special wala cha ajabu hapo. Simple knowledge, application na execution.
 
Thanks. Kama unaweza kunipa contacts zako karibu pm. Naona watu wengi wapo gizani. Mmoja ananijibu habari za Facebook wakati mimi nimeuliza kuhusu 3D virtual worlds!!
 
Thanks. Kama unaweza kunipa contacts zako karibu pm. Naona watu wengi wapo gizani. Mmoja ananijibu habari za Facebook wakati mimi nimeuliza kuhusu 3D virtual worlds!!
Contacts za nini mzee?
 
Back
Top Bottom