Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins?

Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD.

Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.

Screenshot_20211219-111536.jpg
 
Hivi vyuo wabaguzi Sana. Katika usahili wao ili upate nafasi ya kusoma undergraduate degree courses wanaangalia nchi na nchi hata alama zako zikiwa juu.

Mtoto wa mfalme wa Brunei alikuwa na alama za juu sana high school nchini kwao akapata nafasi ya kujiunga Oxford baadaye wakatengua dogo alimaindi. oxford wabaguzi ila Havard wakamkubali.

Uongozi wa Oxford ulijitetea eti walifanya kosa kumkubalia kwa haraka haraka kuna vipengele hakukidhi lakini walikubali alama zake zilikuwa za hatarii lakini licha ya hivyo Bado tu asingejiunga na Oxford.
 
Wako wengi sana, narudia wengi mno.

Mtoto wa dadangu ni alumni wa Havard undergraduate.
 
MIT hua wanakujaga UD, kwa interval ya miaka minne ivi
kuna pepa inapigwa, kipanga ananyakuliwa chap, yes ni kwa undergraduate
 
Change Andrew- Harvard
Ali Karume- Nadhani Cambridge
Na wengine kibao wapo mamtoni huko wamebaki kama diaspora
 
Change Andrew- Harvard
Ali Karume- Nadhani Cambridge
Na wengine kibao wapo mamtoni huko wamebaki kama diaspora
Wote hao siyo undergraduate bachelor courses. Mkuu kuingia hivyo vyuo undergraduate mziki wake siyo wa kitoto ni kama unaenda battlefield. Kina Chenge Kipilimba ni postgraduate na PhD
 
Wako wengi sana, narudia wengi mno.

Mtoto wa dadangu ni alumni wa Havard undergraduate.
Taja majina.
Wewe ni nani , dadako ni nani , mtoto ni nani?
Muwe mnasoma nyuzi kabla kujibu tunataka kutoa TUZO.
 
Back
Top Bottom