Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Elias Kihombo ALIFARIKI?Huyu Tanzania one Elias Kihombo ilibidi asome undergraduate hivi vyuo. R.I.P.View attachment 2049292
Cc Baba Swalehe
IIlikua lini?
😳😳😳😳
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elias Kihombo ALIFARIKI?Huyu Tanzania one Elias Kihombo ilibidi asome undergraduate hivi vyuo. R.I.P.View attachment 2049292
Cc Baba Swalehe
Elias Kihombo ALIFARIKI?
IIlikua lini?
😳😳😳😳
#YNWA
Jamaa niliekuwa namuongelea huyu hapa anaitwa Dr. Frank J. Minja alimaliza MD Havard Medical School mwaka 2003 anatuwakilisha vyema uko mambelee, Salute kwake.View attachment 2084138Watakua eengi tu. kuna jamaa mmoja hivi mchaga niliona kapiga Havard tena Med schoool. Alafu kuna zile shule ISM, IST, Braeburn n.k wanapeleka sana wanafunzi wao kwenye hivyo vyuo.
Mwanangu atakuja kusoma Harvard! Go go girl!
You made my day!!!Sasa ungejuaje kama mwanangu alisoma hapo.
yuko cent fransis ??Mwanangu atakuja kusoma Harvard! Go go girl!
MichongoHats off to Nisha Bon-Nathan Nkya, one of the top-performing NECTA students from Feza Girls' High School, for being accepted early into the prestigious Massachusetts Institute of Technology (MIT) under the Early Action program!View attachment 2049801
typical michongoHearty congratulations to our very own TanSAO intern, and a Feza Boys' High School alumnus, Innocent Kaira Munai, for his early acceptance into the well-renowned Harvard University!
View attachment 2049797
Kamaliza last year shule moja ambayo imo kumi bora sio st.Francis. Now yupo majuu...yuko cent fransis ??