Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

Hamidu Rajabu "HamRaj" aka "Seldon" aka "Emmy" alienda kusoma MIT undergraduate akitoka Bongo 1998 hiyo.
 
Hivyo vyuo undergraduate wa tz wanaenda sana.
Ila ni wale waliofaulu sana kutoka shule ya IST
Sio kwa necta. Ukitaka kwenda havard ama hivyo vyuo kasome IST ama ISM na uwakimbize darasani na mtihani wa mwisho SAT piga maksi za kutosha.

Necta div 1 ya point 3 haiwezi kukupeleka hivyo vyuo hata upate 100 masomo yote
 
Watakua eengi tu. kuna jamaa mmoja hivi mchaga niliona kapiga Havard tena Med schoool. Alafu kuna zile shule ISM, IST, Braeburn n.k wanapeleka sana wanafunzi wao kwenye hivyo vyuo.
 
Nini kilisababisha kifo Chake? Ni TO wa mwaka gani?
 
Hivyo vyuo undergraduate wa tz wanaenda sana.
Ila ni wale waliofaulu sana kutoka shule ya IST
Sio kwa necta. Ukitaka kwenda havard ama hivyo vyuo kasome IST ama ISM na uwakimbize darasani na mtihani wa mwisho SAT piga maksi za kutosha.

Necta div 1 ya point 3 haiwezi kukupeleka hivyo vyuo hata upate 100 masomo yote
Hakika umenena...
Huu ndiyo ukweli...
 
Back
Top Bottom