Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

Yahaya Mohammed Ndutu, an IB diploma holder from the United World College East Africa (UWCEA) - formerly known as the International School Moshi (ISM), has been accepted early into Stanford University for his undergraduate studies!
 
Hats off to Nisha Bon-Nathan Nkya, one of the top-performing NECTA students from Feza Girls' High School, for being accepted early into the prestigious Massachusetts Institute of Technology (MIT) under the Early Action program!
 
Ni Mtz gani amekuwa admitted kwenye college za Elon Musk.......
kuingia Cambridge ama Oxford ama ......
siku hizi kawaida sana
ni kama ushuzi tu
 
Elias Kihombo ALIFARIKI?
IIlikua lini?
😳😳😳😳

#YNWA
 
Watakua eengi tu. kuna jamaa mmoja hivi mchaga niliona kapiga Havard tena Med schoool. Alafu kuna zile shule ISM, IST, Braeburn n.k wanapeleka sana wanafunzi wao kwenye hivyo vyuo.
Jamaa niliekuwa namuongelea huyu hapa anaitwa Dr. Frank J. Minja alimaliza MD Havard Medical School mwaka 2003 anatuwakilisha vyema uko mambelee, Salute kwake.View attachment 2084138
 
Mwanangu atakuja kusoma Harvard! Go go girl!
 
Mwanangu atakuja kusoma Harvard! Go go girl!

Anza kumtunzia ada mapema. Ama kama huwezi kutunza ada akikisha anajua kucheza mpira wa kikapu ama wa miguu sana. Apenyee athletic scolarship
 
ILA HAKUNA YOYOTE MTANZANIA UNDERGRADUATE OXFORD UNIVERSITY. ILA KUNA MMOJA MSOUTH AFRICAN ALIKUWA ADMITTED OXFORD UNIVERSITY AS UNDERGRADUATE. ALIKUWA MTATA SANA NA KUANZISHA HARAKATI SANAMU YA CECIL RHODES IONDOLEWE KWENYE VIUANGA VYA CHUO CHA OXFORD. BABA YAKE ALIKUWA YULE KIJANA ALIYEKUWA AKICHEPUKAGA NA WINNIE MANDELA WAKATI MANDELA AKIWA ANAKULA MVUA ZA KUTOSHA GEREZANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…