Kuna mtoto wa miaka minne kakutwa na typhod wakampa hii dawa. Ni sawa?

Ciprofloxacin. Itakua huyo daktari hajampa hio kwa hofu kua itamzidia/ mperekesha kwa sababu ya umri wake au ugonjwa sio complicated san
Nope Kulingana Na STG Ya watoto na Adolecence Azuma,Cipro na Cefixime ni first line Ila Kati ya Hizo dawa zote..
Cipro ni more Safe kwa Watoto..Sasa ukiniukiza Why tutaanza kuchinba Pharmacology hapo
 
Mkuu Kuna swali nataka kuku uliza nilipata ugonjwa peripheral neuropathy wakanipatia nat B pale muhimbili na dawa za kupaka ila mpaka sasa Hali bado 😢😭 naskia ganzi kalii mguuni nipate dawa Gani mbadala wa hiyo nat b
 
Duh Pole kwani Ilianzaje au ilitokeaje?
Ni superficial au Imeanza kuathiri mpaka Motor Ability au ni sensory peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…