Na mimi ngoja niunge swali langu hapa.
Mimi nina hiyo peripheral neuropathy nadhani ni mwaka wa tano sasa.
Sema ya kwangu sio kali sana.
Iko kwenye lower limbs na upper limbs kwa mbali.
nakuwa nahisi kama muscles zinawaka moto.
Kuna kipindi inakuwa inakuwa kali mpka inakera.
Ila kuna kipindi( kama sasa hivi) inakuwa kwa mbali.
Nivyomuona daktari kwa mara ya kwanza alinipa Nat B, ila hakuniambia kama niendelee kuzitumia.
Kwhy nilitumia mara mbili nikaacha.
Umri ni late 20.
Sina ugonjwa wa kudumu.
Sivuti sigara, na situmii kilevi cha aina yoyote.
Kama ni ishu ya kupata dawa na kumeza .
Dawa hua zipo na utameza sana tu. ila changamoto ni kwenye kubaini chanzo cha tatizo ilo kwanini miguu inakufa ganzi au kuchomachoma mithili ya sindano na kuwaka moto..
Hizo Nat B zinapunguza ukali wa hizo dalili ila sio kutibu chanzo.
chanzo cha tatizo kinaweza kua ni umri wako
Kazi unayo jishugulisha nayo ( usikute wewe n dereva wa malori muda mwingi upo barabarani )
Chakula unachokula na digestion yake kiujumla.
Kupatwa na jeraha linaloweza kusababisha hali hio
Kuugua Magonjwa ya muda mrefu
Unywaji wa pombe kupita kiasi.
# Uzito kupita kiasi?
# Huna gonjwa la misuli Gouti ( vidoleni kinakuwa kama na uvimbe wa rangi nyekundu
Matibabu hua ni kubaini chanzo na kutibu tatizo. Kubadilisha mfumo wa maisha na ulaji wa chakula. Pia wasiliana na wataalamu wa tiba asili pamoja na tiba ya chakula (nutirition) huenda nao wakawa na tiba nzuri kuliko madawa ya kiwandani.piga mazoezi ya mwili kusisimua misuli
#Angle yangu ilikua ni kubaini chanzo cha tatizo hilo na kulitaftia ufumbuzi