Anhaa Hapo Nimekuelewa Sana...
Historically Njia Iliyokuwa ya Kwanza kabisa Kudetermine Dose ya Mgonjwa Ilikuwa ni BSA (Body surface area) sema Ikawa Ni usumbufu sana Kufanya Calculation wakawa Wameisogeza Njia ya Pili ambayo ni Uzito na Njia ya BSA imebaki kwenye Oncology bases kwa wale wa Chemotherapy kama Cisplation na dawa zingine..
Njia zilizobaki Ni Uzito (Weight),Umri (Age) na Baadhi ya Dawa (Height)..
Japo Nyingi sana Tunatumia Uzito na Umri..
Ila Most Preferably ni Uzito..
Na Yes Hiyo 15mg/Kg ya Cipro Niliyoandika Ni dose Ya Dawa kwa Uwiano wa Uzito..
Kwa mfano:-
Mtoto mwenye Uzito wa Kilo 25..
Atapewa [ 15mg X 25kg]/1Kg ambayo ni sawa na 375mg Za cipro..
Atapewa 375mg za Cipro..
Dose Hizi Hutumika sana kwa Watotona Sio fixed Dose kwa Sababu watoto hutofautiana sana kwenye Ukuaji na Other Physiplogical Function..
Children are not Smaller Version of Adults.
Kwahyo Dose yao Sio Fixed..Ndo maana Tunaweka Dosage according to weight..
turudi kwa wakubwa Sasa Kama wewe Mara Nyingi huwa Tunaconsider Kila Adult kuwa Ni Fixed Dose yaani Adults Dose Bila Kuconsider Uzito wake wala Umri wake..
Lakini Kiutaratibu ilitakiwa Ifanyike Consideration ya Weight na Age ila Imekuwa Mazoea but haina Effects sana Sema kuna baadhi ya Dawa Lazima kufanya Vipimo..
But Wako sawa!