Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

Ya leo kali kunguru kamwaga ugali masela tuna njaa kali ni shdraaaaaaaaa nature
 
Wengi wao walianza kushabikia Muziki baada ya Diamond hivyo hawatakuelewa.
 
Necha hata leo hii ukimsimamisha jukwaani shangwe lake hakuna msaani wa kushindana naye bongo hii
 
Nature alipendwa na wavuta bange
Na kwa zako akili unaona bangi kitu kibaya sana eh? huwajui wavutaangi wewe bali unajua walevi wa bangi!
Na faida zake huzijui!
 
Nature alipendwa na wavuta bange

Mkuu Kyalow nature alikua anaitwa hadi kutumbuiza kwenye mikutano ya kamati kuu ya ccm kule dodoma na waheshimiwa wote wanasimama na kucheza,we unasema wavuta Bange..
 
Last edited by a moderator:
hili geeeem...t.i.d alinyonga bonge la chorus humo..
 
aisee wewe unatumia lugha tata hueleweki
 
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
.aliwika na kupendwa?anawika na kupendwa,yupo mkuu.reksa=ruksa?
 
Wengi wao walianza kushabikia Muziki baada ya Diamond hivyo hawatakuelewa.
walikuwa bado wadogo au walikuwa bado hawajaja mjini enzi za pool side kilimanjaro hotel 2002 ilipigwa shooo ya nature mvua ikanyesaha usiku watu tupo tu
 
Ni kweli kabisa coz hata mm sikuwa shabiki yke hata kidogo
ulikuwa unaishi nangwanda bado ulikuwa hujafika mjini au ulikuwa mdogo so sio kosa lako
 

mtu aliyetoka kufir¤**a utamjua tu muda wote anakaa anawashwa
 
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
ww kigezo chako kwamba msanii huyu anawika na kupendwa ni vp? ?? kama hujui nakujulisha. 1-uza zaidi ya wenzio (albamu au nyimbo. )
2-huuze bidhaa (mf.matangazo,t-shirts)
3-matamasha (kiasi gani umeingiza ndani na nje ya nchi) sasa kiulinganisho wa vigezo hivi je nature wako anafikia kwa Almasi???? (kumbuka kama unampenda msanii utanunua kazi yake sio kusukuma gari yake au kushangilia haya ni nyongeza tu)
 
nakubaliana kidogo na wewe ila mlinganisho wako lazima uwe kwa muda husika ,enzi za kina nature mziki haukuwa unalipa kama sasa nature angekuwa juu miaka hii angetisha ,kumbuka unaongelea mika kumi iliyopita,ngoja nikupe mfano mwingine,banana zoro na baba yake mzee zahir ali zoro nani mkali? jibu ni zahir ali ni mkali sana lakini hakufanikiwa kimziki in terms of uchumi kama mwanae sababu ya enzi zile mziki ulikuwa haulipi,huwezi kujaji mafanikio ya mtu kimziki kwa kuhesabu mademu zake na magari yake wengine wanauza sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…