Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa zako akili unaona bangi kitu kibaya sana eh? huwajui wavutaangi wewe bali unajua walevi wa bangi!Nature alipendwa na wavuta bange
aisee wewe unatumia lugha tata huelewekiNimegundua uset names zinajirudia zinaxopinga na jumuonea wivu Diamond.
Utakuta wengivwenu hata kabati la kuwekea nguo hamjui linapatikanaje sembuse dawa ya mswaki.
Full ma wivu utadhani yeye sio msanii aliepeperusha nchi yetu kizaidiiiiiii
Tena mujuenamjazia baraka tele kijana huyo mpende msipende
Alianzia kuuza barabarani etc, mmmhhhh hamkumsrma pesa imeingia wivu.com
hakuna na hatokuja kutokea hv karibuni
natureeerrrrrerrr acha bwana hadi leo nyimbo zake zinabamba mbayaaaa
Kitu cha "hili gemu" hata zikipigwa albamu nzima ya daidomo haifuniki nyimbo moja ya nature.....
Labda ni mmoja wa kati ya wale 162,000aisee wewe unatumia lugha tata hueleweki
Nature alipendwa na wavuta bange
.aliwika na kupendwa?anawika na kupendwa,yupo mkuu.reksa=ruksa?hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
Nature alipendwa na wavuta bange
Nimegundua uset names zinajirudia zinaxopinga na jumuonea wivu Diamond.
Utakuta wengivwenu hata kabati la kuwekea nguo hamjui linapatikanaje sembuse dawa ya mswaki.
Full ma wivu utadhani yeye sio msanii aliepeperusha nchi yetu kizaidiiiiiii
Tena mujuenamjazia baraka tele kijana huyo mpende msipende
Alianzia kuuza barabarani etc, mmmhhhh hamkumsrma pesa imeingia wivu.com
aisee wewe unatumia lugha tata hueleweki
ww kigezo chako kwamba msanii huyu anawika na kupendwa ni vp? ?? kama hujui nakujulisha. 1-uza zaidi ya wenzio (albamu au nyimbo. )hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
nakubaliana kidogo na wewe ila mlinganisho wako lazima uwe kwa muda husika ,enzi za kina nature mziki haukuwa unalipa kama sasa nature angekuwa juu miaka hii angetisha ,kumbuka unaongelea mika kumi iliyopita,ngoja nikupe mfano mwingine,banana zoro na baba yake mzee zahir ali zoro nani mkali? jibu ni zahir ali ni mkali sana lakini hakufanikiwa kimziki in terms of uchumi kama mwanae sababu ya enzi zile mziki ulikuwa haulipi,huwezi kujaji mafanikio ya mtu kimziki kwa kuhesabu mademu zake na magari yake wengine wanauza sembeww kigezo chako kwamba msanii huyu anawika na kupendwa ni vp? ?? kama hujui nakujulisha. 1-uza zaidi ya wenzio (albamu au nyimbo. )
2-huuze bidhaa (mf.matangazo,t-shirts)
3-matamasha (kiasi gani umeingiza ndani na nje ya nchi) sasa kiulinganisho wa vigezo hivi je nature wako anafikia kwa Almasi???? (kumbuka kama unampenda msanii utanunua kazi yake sio kusukuma gari yake au kushangilia haya ni nyongeza tu)