BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 478
- 819
Police Kuna kitengo cha cyber security japo huwa wana njaa anaweza track hiyo simu wakamalizana na mwizi kiaina.Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?
Ingekua iphone chap tu ila simu zingine hizi mchele mchele huwez kuipata
Kisheria police ndio watu pekee wanatakiwa kufanya hivyo ingawa huwa malalamiko ni mengi kutoka kwa wadau, Mimi niliwahi kushuhudia mara moja kuna dogo mmoja dereva boda boda pale mapinga (bagamoyo) simu yake iliibwa akaenda police pale pale mapinga ikafuatiliwa na aliyeiiba alipatikana.Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?
Ukiwa na uwezo ukafanya bila kibari kutoka TCRA ni kosa kisheria na ukikamatwa ni kifungo jela, faini au vyote kwa pamoja.au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?
Yaanii kwakweli ni huzuni tuu๐ชKisheria police ndio watu pekee wanatakiwa kufanya hivyo ingawa huwa malalamiko ni mengi kutoka kwa wadau, Mimi niliwahi kushuhudia mara moja kuna dogo mmoja dereva boda boda pale mapinga (bagamoyo) simu yake iliibwa akaenda police pale pale mapinga ikafuatiliwa na aliyeiiba alipatikana.
So, technically kuwezekana inawezekana ila shida ni hiyo mtu (police) atakaekusaidia kulifanikisha hilo ndio kipengele.
Yaanii ilishanikutaga hii enzi izoo๐๐๐,tena ukienda report unapewa kabisa mtu wa kuifatilia ila sasa mfatiliaji anakwambia kabisa utapoteza muda,,anakwambia cm yako inaonekana IPO sehemu Fulani ila inabidi utoe ela hapa ndo tuipate,mara ooh yanaingia mambo ya mizagamuano๐ ๐ ๐ imagine kipindi mtu uko na stress ya kupoteza mwingine kwake ndo faida,mwisho wa siku unaonaga Bora tuu uachane nayo..๐Police Kuna kitengo cha cyber security japo huwa wana njaa anaweza track hiyo simu wakamalizana na mwizi kiaina.
Wakataka uwape na shoo yani upoteze simu uwape na stimu!Yaanii ilishanikutaga hii enzi izoo๐๐๐,tena ukienda report unapewa kabisa mtu wa kuifatilia ila sasa mfatiliaji anakwambia kabisa utapoteza muda,,anakwambia cm yako inaonekana IPO sehemu Fulani ila inabidi utoe ela hapa ndo tuipate,mara ooh yanaingia mambo ya mizagamuano๐ ๐ ๐ imagine kipindi mtu uko na stress ya kupoteza mwingine kwake ndo faida,mwisho wa siku unaonaga Bora tuu uachane nayo..๐
Mafwele kasema ukimuona kamanda karibu na wewe Uende ukaongee naye, hili swali ni moja ya maswali mazuri ukiwauliza!Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa kufanya hivyo.?
Okay inamaana ukimpata mwaminifu inawezekana.Nimewahi kuipata, ila nilitumia Police. Huyo police tulimaliza chuo pamoja so swala langu alilipa uzito
๐ ๐ Ile ilikuwa ni Google pixel, naskiaga wanasema hiyo pia kuflash sio jambo dogoIngekua iphone chap tu ila simu zingine hizi mchele mchele huwez kuipata