Kuna mtu alishapata simu ya Android iliyopotea kwa kuitrack location.?

Okay inamaana ukimpata mwaminifu inawezekana.
Inawezekabisa. Ni rahisi sana. Huwa wanaangalia nani mtu wake wa karibu ndiyo wanamtishia kuwa mmeiba wote simu. So ili kujikwamua wanamwambia mpigie simu kuwa muonane. Akifika ishu inaishia hapo.
 
Simu itapatikana kulingana na ukubwa wa kesi , mfano kesi ya mauaji, kesi ya uporaji wa kiasi kikubwa cha pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…