Kuna mtu alitabiri katika mtandao wa X kuwa Raila Odinga atakufa mwezi oktoba 2025

Kuna mtu alitabiri katika mtandao wa X kuwa Raila Odinga atakufa mwezi oktoba 2025

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Hii tweet ni ya mwaka jana, leo imejipatia umaarufu baada ya kifo cha Raila Odinga.

Je kuna watu wana kipawa cha kutabiri yajayo?
IMG_8358.jpeg
 
Write your reply...mimi namtabilia godbress lema atakufa kwa ajali ya kuungua na moto familia yake yote
 
Maisha ya wanasiasa yanatawaliwa na uongo uongo na hata sababu za vifo vyao huwa ni za uongo uongo. Utasikia heart attack, cardiac arrest, kidney failure kumbe...?
 
Kiukweli pamoja na kwamba wao ndio wenye nguvu kwa sasa, lakini mioyoni mwao wana wasiwasi na uoga sanaa.....wale gabachoriz kama wameanza kuhamisha familia zao tu, ujue kimewarambaa tyari
 
Maisha ya wanasiasa yanatawaliwa na uongo uongo na hata sababu za vifo vyao huwa ni za uongo uongo. Utasikia heart attack, cardiac arrest, kidney failure kumbe...?
Polo 210
 
Back
Top Bottom