Polorussia. Huko Kenya Izirael anapitaga na wanasiasa wa kijaluo sanasana.Polo 210
Why only luos not the other one, famous big one??Polorussia. Huko Kenya Izirael anapitaga na wanasiasa wa kijaluo sanasana.
Afadhali siyo Gobless Lema.Write your reply...mimi namtabilia godbress lema atakufa kwa ajali ya kuungua na moto familia yake yote
Habari yako mwana maono!Maono....
Kama hauna hii kitu hauwezi kabisa kuelewa
💯Aliotea tu
Salama fundi maikoHabari yako mwana maono!
Hardly to guess unless you're their strong man, lastyear they crushed their CDF who was a luo man.Why only luos not the other one, famous big one??
Wangeandika" editing "Huko hakuna editing?
Nje ya Box au vipiHiyo ni AI
Na Yeye atakufa liniHii tweet ni ya mwaka jana, leo imejipatia umaarufu baada ya kifo cha Raila Odinga.
Je kuna watu wana kipawa cha kutabiri yajayo?View attachment 3489104