Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

Na Wewe pia umeanza 'Kunukudiwa' huko 'Unyabengani 'Kwako kama Mpaji Mungu? Pole sana.
Endelea kuwashwa via vya uzazi unachokitafuta utakipata zero brain ww, kichaa chako hicho naona kinakupeleka vbya wenzako waliopo 40's wapo wanaset mambo vzr we upo bize kuentertain wanaokupiga paipu
 
Hili nikweli mia mia, Tanganyika ni Taifa la Mungu.Bali na ulinzi wa majeshi Kuna Ulinzi wa Mungu.

Ukilichezea umekwisha,kwanza Ramani yake tu amazing 😍.
 
Mungu katukabidhi CCM tu tuangaike nayo
 
Unajua hata miimi nimekuwa nawaza kwa njni hii tabiri ya funga mwaka ya Hali ya Hewa hakujatokea hata robo ya dalili? Na sasa Dar hakukaliki kwa joto jema linalounguza nyayo badala ya utosi.

Kabla ya tishio la kimbunga jobo kulikuwa na matishio ya vimbunga kadhaa huko nyuma na hakuna kilichowahi kupenya.

Hata itokee ukame namna gani lakini bado ardhi yetu inafaa kwa kilimo.

We mzee, umewaza nini kutuletea huu uzi maana dah, kumbukumbu zinafunguka
 
Katika Ulimwengu wa Roho, Nyikani ndiyo imeibeba Dunia,

Ni lango la baraka au LAANA Kwa Dunia,

Baada ya Israel kumkataa Yesu, Tanga yika iliteuliwa kuwa Taifa la AGANO la mwisho.

Hili ni Taifa la Amani, Dunia nzima itapata usalama na kimbilio Nyikani, Nchi hii itatengwa kama kisiwa, Mahali pa kujificha wakati Dunia itakapokuwa vitani na kutumika silaha za hatari.

Siku Si nyingi, tetemeko litatokea litakaloitenga Nyikani na mataifa mengine, litakuwa kama kisiwa, na bara.

Na Ule msemo wa "Kisiwa Cha Amani utatimia"

Umebarikiwa na Mungu Nyikani. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…