GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia na Quran hakikubaliki ila Yeye aliahidi huku akijiaminisha kabisa kuwa Chama anahamia Yanga SC kwakuwa Kahakikishiwa.
Kama kweli Chama atahamia Yanga SC basi itakuwa ndiyo Pona yake ila asipohama na akibakia Simba SC tujiandaeni kumuonea Huruma kwani tayari kuwa Masela wameshaanza Kujiandaa kwa Maangamizi ya Kibaiolojia dhidi yake yatakayopita Mitaa yote ya Yombo na Kuishia pale kwa Mpalange.