Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Andika wosia mapema ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika wosia mapema ha ha ha
Mkuu asubuhi hii inalewa au tukio ni la jana?hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zang mara gafla kuna mtu anatoa bastola.
Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
😂 😂uwe unapokea simu zake..utakufa kizembe
Kukagua haisaidii sana maana watu wana vibali sahihi....Tatizo wanapokaa viti virefu na kunywa maji flani,Vibali vikaguliwe upya
Acha uoga wewe! Kwani kuna kosa gani mtu kutoa bastola yake wakati wewe unakunywa hizo bia zako? Au alikulenga kichwani?hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zang mara gafla kuna mtu anatoa bastola.
Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
Na wewe broo mtishie uchawiHapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zangu mara gafla kuna mtu anatoa bastola.
Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
Umejisikia tu kujiandikia... Yaani unataka polisi wapite grocery zote jirani na Jordan kutafuta ni nani ana bastola?Hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zangu mara gafla kuna mtu anatoa bastola.
Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
Sasa akikuona unataka kumpiga na chupa si ndio atakumiminia risasi za kutosha!Hakuna chupa karibu hapo umtandike nayo kichwani?!?..asiuwe mtu,hatujamaliza Toba bado
Ogopeni sana kukaa-kaa hovyo na wanawake. Iwe ni kazini kwenu, supermarket, mpirani, sijui grocery, nk.
Hivi sasa watu wamepinda. Wana hamu sana ya kujaribu bastola zao kama kweli zinaua au la!!
Wanatafuta vichwa vya majaribio!