Kuna mtu ameshawahi kupona ugonjwa wa Homa ya Uti wa mgongo hapa Tanzania?

Kuna mtu ameshawahi kupona ugonjwa wa Homa ya Uti wa mgongo hapa Tanzania?

Meningitis sio infection kwenye spinal cord bali ni infection kwenye meningeal layers (arachnoid ,dura mater,pia mater) japo sample ya investigation inachukuliqa kwenye uti wa mgongo (lumber puncture kwa ajili ya microbiology, biochemical ,culture and sensitivity).
asante kwa ufafanuzi
 
inshort meningitis is just inflammation ya meningis
Yeah Right kabisa..
Dura matter, Arachnoid pamoja na Pia Matter Safi sana Umenikumbusha Anatomy..

So the inflamation ya Any meningeal Later ndo itaitwa Meningitis but Umeenda Deep Sana Kuelezea Inflamation ya Meninges kwa layman kwa kutumia CNS layer Unafikiri atakuelewa??..

Just Sema tu ni Maambukizi ya Uti wa Mgongo au Homa Ya uti wa Mgongo simple as That
 
Meningitis sio infection kwenye spinal cord bali ni infection kwenye meningeal layers (arachnoid ,dura mater,pia mater) japo sample ya investigation inachukuliqa kwenye uti wa mgongo (lumber puncture kwa ajili ya microbiology, biochemical ,culture and sensitivity).
Hello Brother
Naomba kuuliza.Kama niko na disk za uti wa mgongo na shingo zimeanza kezeeka je ku namna ambayo naweza fanya kuziimarisha?
Ahsante .
 
Back
Top Bottom