Kuna mtu ameshawahi kupona vipele vya ndevu?

Kuna mtu ameshawahi kupona vipele vya ndevu?

Ukimaliza kunyoa tumia electric shaver, sababu ya kutoka upele mara nyingi ni vinyweleo vinavyobaki ndani ya ngozi baada ya kunyoa,

Electric shaver inangoa mabaki ya nywele sehemu uliyonyoa na kuzuia hivyo vipele,

Nilikua na shida hiyo ila tangu nianze kutumia electric shaver baada ya kunyoa imebaki stori.

Brand yoyote tu tafuta itafaa kwa matumiziView attachment 2997127
Kung’oa ndevu zote baadae inasababisha mabaka mabaka kwenye kidevu,inaweza kuwa solution ya muda ila baadae ikakusumbua.
 
Back
Top Bottom