Ukimaliza kunyoa tumia electric shaver, sababu ya kutoka upele mara nyingi ni vinyweleo vinavyobaki ndani ya ngozi baada ya kunyoa,
Electric shaver
inangoa mabaki ya nywele sehemu uliyonyoa na kuzuia hivyo vipele,
Nilikua na shida hiyo ila tangu nianze kutumia electric shaver baada ya kunyoa imebaki stori.
Brand yoyote tu tafuta itafaa kwa matumizi
View attachment 2997127