Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20w50=70,000mineral oilInauzwaje hiyo oil?
20w50=70,000mineral oil
5w30=135,000synthetic oil for Japanese car and American car
5w30 =150,000synthetic oil for European cars
Chief, ndio km 100,000?Oil nzuri zaidi ila kabla ya kufikisha km zilizoandikwa mwaga oili kwa usalama wa gari yako
Sio laki moja100,000 kama ulivyoandika ni km 10,000-15,000 ila atf zake ndo unaweza kumwaga after 100,000 km kama gari yako haitembezwi roughChief, ndio km 100,000?
Alichoandika mtoa mada ndio kimenistuaSio laki moja100,000 kama ulivyoandika ni km 10,000-15,000 ila atf zake ndo unaweza kumwaga after 100,000 km kama gari yako haitembezwi rough
Weka kisha. Tembea hizo kms kama utazimaliza bila kuja kuulizia fundi wa engine uje nikupe zawadi 🤣🤣🤣🤣Hawa wajerumani wanasema oil yao ni nzuri na inaweza fikisha 100.000 km.
Kama kuna mtu ameshawahi itumia hii oil, Tupeane uzoefu.
Hata akifikisha 15,000km tu atakuja kumtafuta fund engine hukuWeka kisha. Tembea hizo kms kama utazimaliza bila kuja kuulizia fundi wa engine uje nikupe zawadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahHata akifikisha 15,000km tu atakuja kumtafuta fund engine huku
Zinafika lakn iwe ni full synthetic ila kama ni semi, synthetic mwaga km 5000-7000Sorry. Nimemaanisha 10,000km.
ATF zake zinaendaje?Sio laki moja100,000 kama ulivyoandika ni km 10,000-15,000 ila atf zake ndo unaweza kumwaga after 100,000 km kama gari yako haitembezwi rough
Inategemeana na aina pia kuna kuanzia 30,000 kwa litre mojaATF zake zinaendaje?
Unaenda kuikaanga engine ya Gari yako mapema asubuhiHawa wajerumani wanasema oil yao ni nzuri na inaweza fikisha 10.000 km.
Kama kuna mtu ameshawahi itumia hii oil, Tupeane uzoefu.
Hata akifikisha 15,000km tu atakuja kumtafuta fund engine huku