Kuna mtu ameshawahi tumia oil ya Liqui Molly?

Kuna mtu ameshawahi tumia oil ya Liqui Molly?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Hawa wajerumani wanasema oil yao ni nzuri na inaweza fikisha 10.000 km.

Kama kuna mtu ameshawahi itumia hii oil, Tupeane uzoefu.
 
Hawa wajerumani wanasema oil yao ni nzuri na inaweza fikisha 100.000 km.

Kama kuna mtu ameshawahi itumia hii oil, Tupeane uzoefu.
Weka kisha. Tembea hizo kms kama utazimaliza bila kuja kuulizia fundi wa engine uje nikupe zawadi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom