Kuna mtu ana ana uzeofu na utomation ya trading strategy yake forex?

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Habari wanajamii forum,
Naomba experience kwa wadau wa forex.

Nimekuwa niki trade pullbacks strategy kwa muda hasa baada ya kusoma kitabu cha Al brook nikasema acha ni focus na hii,
Win rate kila niki analyse per day ni 80% hadi 90% but shida moja tu discipline,

Unaanza week na discipline vizuri tu, lakini market inaanza kukupa traps mfano , stop loss inakuwa hit then inaendelea na trend hata palipokuwa na tp yako.
Hii ikijirudia mara nyingi unaanza ku move sl na kweli inafika na kwenda kwenye tp hadi pale ambapo itakuwa kinyume chake unapoteza pesa nyingi sana.

Shida nyingine ni overconfidence inayofanya unaanza hadi kuchukua weak setups.

Nimejaribu kui control hii tabia ila inakuwa ngumu.

Baada ya kufatilia nimeona kuna uwezekano wa ku automate strategy yangu kwa conditions nazo set mwenye kwenye MT5 Expert Advisor kisha inakuwa ina execute trade yenyewe na ku close.

Kama kuna mdau ana uelewa na hii njia ya kutengeneza bot lako mwenyewe na kuweka conditions ku backtest hadi kuanza kuitumia naomba abcs, nadhani hii ni njia pekee ya kuweka emotions pembeni na kufocus na strategy.
Asanteni.
 
Lipia Claude AI uanze kudevelop ata kupa miongozo yote ya Muhimu,

Mimi na wenzangu tupo kwenye stage ya kulifanyia testing robot letu
 
Asante sana mkuu, imewachukua muda gani kulitengeneza pia ningependa kufahamu kama kuna gharama zaidi zinatumika hadi kukamilisha.
 
Kwa sisi Hadi hapa tuna fanya project nyingi Hadi Sasa tuna Mwezi Mmoja tu Lakini

Ukiwa serious na hicho tu bila mambo Mengine Mwezi Mmoja una kamilisha Kila Kitu.
 
Back
Top Bottom