willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,086
- 1,332
kanunue Firestick ili mradi uwe na internet stable atleast 20mbsKama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
Kinatumia connection ya internet?Inawezekana lakin hiki king'amuz kinafaa kwa matumiz ya nyumban tu
Huwez kufanyia biashara maana kuna wakat kina staki staki
NdioKinatumia connection ya internet?
Basi kuna jamaa hapa mtaani huwenda anatumia hiyo systemNdio
Hio ni iptv hapo lazima akupige, kama unafanya biashara mara Mia tafuta Dstv now, mtafute mtu mwenye dstv mpoze kidogo then akupe access ya online.Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
Vp kinatumia technology gan kufungua channel zinazouzwa?Inawezekana lakin hiki king'amuz kinafaa kwa matumiz ya nyumban tu
Huwez kufanyia biashara maana kuna wakat kina staki s
Anadai hakitumii internet bali king'amuzi kinatumia dishi kama la azam au continentalHio ni iptv hapo lazima akupige, kama unafanya biashara mara Mia tafuta Dstv now, mtafute mtu mwenye dstv mpoze kidogo then akupe access ya online.
Iptv zipo nzuri ambazo hazisumbui ila hazipatikani kirahisi hivi, sifa ya Iptv jinsi mkiwa wengi ujue server inazidiwa na ndio jinsi ina nata nata, so ukiona app ama huduma kama hii kila mtu anayo basi jiandae kwa hilo.
Pia hizo iptv za Decoder zinataka internet ya maana, iwe unlimited, mechi moja ya mpira kawaida kutumia GB zaidi ya 5.
Aha basi ignore comment yangu ya juu, haihusiani na situation yako.Vp kinatumia technology gan kufungua channel zinazouzwa?
Anadai hakitumii internet bali king'amuzi kinatumia dishi kama la azam au continental
Acha ving'amuzi chipukizi vinaganda sanaHivya ving'amuzi vinapatikana wapi?