Kuna mtu anae wafahamu makazi investment

Kuna mtu anae wafahamu makazi investment

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Refer heading above,
Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot
Kigamboni
Kiluvya
Chanika

Kuna yeyote mwenye abc
Kuhusu Hawa jamaa

Wapo ki halali mfano mtu akilipa 30%
Then analipa kidogo kidogo KWA miez minane

Kuna mtu yeyote amewai kununua ENEO au anazo taarifa za uhalali wao
Shukrani.
 
Yes nimewahi nunua eneo kwao, miaka kama 3 iliopita maeneo ya chanika zingiziwa, wako vyema Sana, sio matapeli kabisa, offisi zao zipo makumbusho

Labda kama wawe matapeli sasa hivi
 
Yes nimewahi nunua eneo kwao, miaka kama 3 iliopita maeneo ya chanika zingiziwa, wako vyema Sana, sio matapeli kabisa, offisi zao zipo makumbusho

Labda kama wawe matapeli sasa hivi
Kuna ENEO lao kiluvya nimeshow interest
So nikawa natafuta validity yao..
 
Back
Top Bottom