Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Oct 1, 2020 #1 Refer heading above, Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot Kigamboni Kiluvya Chanika Kuna yeyote mwenye abc Kuhusu Hawa jamaa Wapo ki halali mfano mtu akilipa 30% Then analipa kidogo kidogo KWA miez minane Kuna mtu yeyote amewai kununua ENEO au anazo taarifa za uhalali wao Shukrani.
Refer heading above, Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot Kigamboni Kiluvya Chanika Kuna yeyote mwenye abc Kuhusu Hawa jamaa Wapo ki halali mfano mtu akilipa 30% Then analipa kidogo kidogo KWA miez minane Kuna mtu yeyote amewai kununua ENEO au anazo taarifa za uhalali wao Shukrani.
Masokwe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2019 Posts 454 Reaction score 682 Oct 1, 2020 #2 Yes nimewahi nunua eneo kwao, miaka kama 3 iliopita maeneo ya chanika zingiziwa, wako vyema Sana, sio matapeli kabisa, offisi zao zipo makumbusho Labda kama wawe matapeli sasa hivi
Yes nimewahi nunua eneo kwao, miaka kama 3 iliopita maeneo ya chanika zingiziwa, wako vyema Sana, sio matapeli kabisa, offisi zao zipo makumbusho Labda kama wawe matapeli sasa hivi
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Oct 1, 2020 Thread starter #3 Masokwe said: Yes nimewahi nunua eneo kwao, miaka kama 3 iliopita maeneo ya chanika zingiziwa, wako vyema Sana, sio matapeli kabisa, offisi zao zipo makumbusho Labda kama wawe matapeli sasa hivi Click to expand... Kuna ENEO lao kiluvya nimeshow interest So nikawa natafuta validity yao..
Masokwe said: Yes nimewahi nunua eneo kwao, miaka kama 3 iliopita maeneo ya chanika zingiziwa, wako vyema Sana, sio matapeli kabisa, offisi zao zipo makumbusho Labda kama wawe matapeli sasa hivi Click to expand... Kuna ENEO lao kiluvya nimeshow interest So nikawa natafuta validity yao..
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 2,049 Reaction score 5,449 Oct 5, 2020 #4 am 4 real said: Kuna ENEO lao kiluvya nimeshow interest So nikawa natafuta validity yao.. Click to expand... Hapo kiluvya fika ofisi za serikali ya mtaa utapata taarifa sahihi la eneo na mmiliki wa hilo eneo.
am 4 real said: Kuna ENEO lao kiluvya nimeshow interest So nikawa natafuta validity yao.. Click to expand... Hapo kiluvya fika ofisi za serikali ya mtaa utapata taarifa sahihi la eneo na mmiliki wa hilo eneo.