Kuna mtu ananiuzia pixel 6a mpya kwa 450,000. Ni sahihi thamani hii au napigwa?

yaan upate 6a mpya mwaka 2026!? Au kuna maana nyingine ya simu mpya?
 
Kwani mkuu mpaka leo huwezi kugoogle ukaona bei halisi mtandaoni kisha ukalinganisha na hiyo alokwambia? Kama umeweza kua na acc jf na kupost thread kwann umeshindwa kugoogle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…