Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa, mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi, umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?