Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawafanya wahisani waendelee kuipa Serikali hela kwa kuamini kuwa kuna demokrasia.Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa,mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi,umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?
Hao watu hawana tofauti na wafanyakazi hewa!!.
Kumaliza hewa safi DodomaKwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa,mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi,umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?
Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa, mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi, umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?, tatizo CHADEMA mnashindwa kubadilika na kuifahamu nchi yenu kwa wakati mmoja inakuwa inahitaji kitu gani na inaweza kukipata vipi, mnakariri siasa zile zile za juzi.
Bunge la sasa halina faida yoyote kwa wananchi ni heri Mungu awapende zaidiKwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa, mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi, umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?
Binafsi kwa sasa sioni,hasazaidi ndani ya miaka 10 ,13 ya hivi karibuni hata lisipo kuwepo naamini inaweza kuwa faida zaidi kwani katika mazingira hayo itajitokeza mifumo mingine iliyobora kuliko hii iliyoonyesha kishindwa kulisaidia taifa,hata kama itakuwa ya shida na mateso,ila itawezakusaidia kutoka tulipo kwamishwa.Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa, mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi, umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?
Mimi siyo nabii lakini huyu ni wewe ni napeHauzijui au unadhani hawazifanyi ipasavyo?
Kuhudhuria mazishi ya viongoziKwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini wabunge waendelee kuwepo?
Kitu kinyonge hakina uwezo wa kusimamia kitu chenye nguvu.Tuliwahi kuambiwa kuwa,mhimili mmoja umejichimbia mizizi chini sana kiliko mihimili mingine.
Tunaona ukweli huu pale ambapo CAG anakuja na ripoti zinazoashiria wizi wa kutisha ambao unajionesha kwenye utajiri wa,ghafla wa baadhi ya mawaziri na wale walio karibu na serikali.
Imefika mahali baadhi ya watu hao wanasema kwa sasa pesa ni nyiingi mno kiasi kwamba wanashangaa kwa nini wengine hawazipati.
Ila ukweli ni kuwa, mianya ya kupiga hela za serikali,imerahisishwa kwa baadhi ya watu wachache.Kuona wanajenga mahekalu na kununua magari makubwa ni kitu cha kawaida.
Je huko unakoishi, umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?
Museveni alitokea pahala akoweka rula, Uganda ipo pazuri. Hapa Tz kuna haja aje mnyosha rula, kwa kipindi hicho cha kunyosha rula hakuna bunge na fungu la bunge liende kwenye huduma za kijamii. Kwan kuna siku Museven atashtakiwa kwa kosa la kupindua serikali. Najiuliza hili swaliPale ni kutimiza takwa la Katiba tu, kwa vile imesema tuwe na bunge. Ukiondoa hapo hakuna faida yeyote. Nchi inaingia gharama bure kabisa
HahahaWana faida kubwa sana. Sasa nani atakula hela ya mazuzu kama sio wao ... Acha watafune nchi ... Mazuzu mpaka yaamke washafaidi sana.
Mkuu uneona nchi za kuiga mfano ukaona Uganda? We utakwa mnyarwanda😅😅Museveni alitokea pahala akoweka rula, Uganda ipo pazuri. Hapa Tz kuna haja aje mnyosha rula, kwa kipindi hicho cha kunyosha rula hakuna bunge na fungu la bunge liende kwenye huduma za kijamii. Kwan kuna siku Museven atashtakiwa kwa kosa la kupindua serikali. Najiuliza hili swali