Kuna mtu anaweza kuniambia faida za Wabunge Tanzania?

Bunge la Samia Halina meno hata kidogo.Limekuwa bunge saidizi la mhimili wa samia.chochote kinachopendekezwa na serikali bunge letu kibogoyo lazima likiunge mkono hata kama wakiambiwa kesho wabunge wote wakanye uwanja wa taifa wataunga mkono.
🤣
 
umewahi kuona faida ya kuwa na mbunge?
Ndio, faida mojawapo ni;
1.Kutafuna kodi za wananchi kwa kujilimbikizia mishahara minono na marupurupu, bila kujali hali duni za wananchi wanaodai wanawatumikia.
Nyingine ni kujilimbikizia mali kama ardhi, kufanya biashara na taasisi za serikali etc!

Naomba kuwasilisha.
 
Faida ni Faida tu
 
Tunahitaji bunge dogo, na wabunge wapatikane kWa mchujo mkali

Wabunge 200 wanatosha mno

Unganisheni majimbo
 
Ukweli faida yao ni zero. Kwa Taifa. Hawachambui, kuhoji au kuomba marekebisho ya sheria.

Mtikila alikuwa ana faida kuliko bunge lote. Hata Warioba ana faida kuliko bunge lote leo.
 
Ukweli faida yao ni zero. Kwa Taifa. Hawachambui, kuhoji au kuomba marekebisho ya sheria.

Mtikila alikuwa ana faida kuliko bunge lote. Hata Warioba ana faida kuliko bunge lote leo.
Hawa hata wangekufa wote mimi ningeona sawa tu Taifa lingepungukiwa na mzigo.
 
Mwashambwa na washirika wanakuja majibu wanayo.
 
Faida yao ni kubwa sana ...ni kula kwa bidii na ku💩kwenye zoo inayoitwa bunge
 
Rubber stamp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…