Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Lizzy embu rejea sentensi aliyosema kaka kwa ld hapo juu sioni kama ana maamuzi ila ana maumivu hajui la kufanya sana sana anaweza kupata msukumo wa third part kufanya maamuzi ambao unaweza usiwe wakwake mwisho wa siku ukaona karudi kwa mwanamama huyo huyo anayemuumiza.


well hapa mzee anaonyesha mzigo wa mapungufu umemlemea!!!kilichobaki ni kuutua tu!!full stop!!!
 

Kama na wewe umewahi kuzini....lol

Umeeleweka babu. Shukrani
 
Aendelee kukusamehe kwa maana imeandikwa,Msamehe anayekukosea hata saba mara sabini.
 
Hivi nilikusamehe vile mara ngapi maana sikumbuki ila ni zaidi ya mara saba

TF,

Huyu jamaa iko gonjwa. Kwetu sisi tunaoishi Segerea (ndani ya ndoa) hata kuwaza tu kwamba Bibi anaweza kugawa uroda nje BP inakaribia 200mmHG!! Hapo ni kuwaza tu!

Nadhani baada ya kumfumania nitaomba ED kama za siku 14 na kumwomba dokta wangu asikae mbali na mimi. Hiyo ni mara moja tu. Mara ya pili nikimwona na kukaa kimya si itakuwa ni R.I.P tayari? Sitaki kujiua....Bora kila mtu akamate mchuma wake...

Kuchovya chovya nje ni kutamu sana ila hakuta kitu kigumu kama kufania. Bahati mbaya sijawahi kupata hata mtu wa kunisimulia inakuwaje....No please....., tuache utani!
 
Hivi nilikusamehe vile mara ngapi maana sikumbuki ila ni zaidi ya mara saba

Heheheheh bana weee.....mi hata nisiposamehewa mara moja kama nimezini nje ya uvumilivu naona ntakua nastahili kabisa!!!Uaminifu ukashatoweka hata mapenzi hupungua!!
 
...ha ha ha! duuhh imenibidi nicheke hapa
jamaa is so deluded!
Inabidi arudi kwenye drawing board.
Haki ya nani sikutarajia jamaa angejibu hivyo.
LD, stay far from him
Am out of this.

Mbu smelling trouble a mile off....actually trouble around the corner...:lol:
 
Reactions: Mbu

Kuna majibu hapa, wapendwa!!!

Hukutuambia mdada ana miaka mingapi (26) na je alimuoa baada ya kumpa ujauzito (HAPANA) au ilikuwaje (HAWANA MTOTO) Mdada alirukia kuolewa kwa vile mkaka ana faranga au ilikuwaje (WALIPENDANA) na wapo pamoja Five years sasa.
 

Kuna sehemu amesema anataka kumuacha ila hajui ataanzaje"!!
Sisi hapo tunamwaga mawazo yetu tu....yeye anachotakiwa kufanya ni kuyafanyia kazi yale anayoona yanaendana na mtazamo wake!!Hamna anamlazimisha kusuka au kunyoa!!
 

Huyo jamaa yako mzembe sana!
Miaka mitano ya ndoa na hawataki kuzaa? Labda bi mdogo anataka mwana!
 
But guys let's face it. Hivi kweli mwanaume mzima na akili yako timamu, pride yako, self esteem yako, na mengine mengi yanayokufanya mwanaume uwe mwanaume, unaweza kweli kumsamehe mkeo mliyeliana naye viapo vya kuaminiana huku ukijua kuna jamaa wengine wanamla au wameshamla ilhali akiwa mkeo?

Unasamehe kabisa bila kinyongo wala gubu na mnaendelea kuishi kwa amani na furaha? Hivi kweli kabisa hii inawezekana? I just can't wrap my mind on how this could be possible...I just can't.
 

...naam, naam. Reasoning with your emotions muhimu bana.
Nilikusoma pale awali msimamo wako, kwamba ni bora usijue anafanya na heshima iwepo.
Hebu rudia kusoma mchango wa Chauro hapa chini;


...hakuna Cheater anayependa kufumaniwa.
 

Samawati,

Samahani sana ndugu yangu kama nimekukwaza au kama jibu langu limeonekana kukukwaza wewe binafsi. Nilitaka kusema kwamba hakuna sababu yoyote anayoweza kutoa mtu kuhalalisha uzinzi nje ya ndoa tena ambao unafikia kiwango cha kufumaniwa mara kibao, bila kujali ni mume au mke.

Ila binafsi nimeshaweka wazi kwamba suala uzinzi linaumiza pande zote (sote tuna mioyo ya nyana na siyo stainless steel). Kwa hiyo hata mimi nikifumaniwa mara ya 2 nitamwomba wife aniache tu!
 

Je, mkaka anaumwa kisukari?:crazy:
 
Reactions: Mbu

Jisikilize kisha uliza hilo swali upande wa pili wa mla kiapo!
 
Sasa ld unategemea nini mwenzio alifuata pesa na sio mapenzi huyo atamtesa mpaka kiama huwezi kumvumilia mtu usiyempenda kamwe huo ndo ukweli kwenye mapenzi ya kweli na uvumilivu huwepo.


Halafu tofauti ya miaka yao inanipa mashaka binti anataka kucheza kiduku,mzee spring za mwili zishaanza kugoma


 

Kipimo cha kunisamehe uovu wangu kisiwe ni kipimo cha kutaka msamaha toka kwangu...
Kusamehe inatoka nafsini mwa mtu....
Nikifumania sitasamehe, ila akinifumania ntaomba msamaha (na asiposamehe sitamwona ni mkosaji)..
 
Reactions: Mbu


Kwa kweli nilitaka kuchangia ila nilivyoona hii point yako imenimalizia maneno. HAIWEZEKANI WALA HAIINGII AKILINI MWANGU
 

Kusema ukweli bado sijaona nia!!
Labda anataka kunitoa likizo nini??
Sijaona Ishara lakini.
 
Reactions: Mbu
Jisikilize kisha uliza hilo swali upande wa pili wa mla kiapo!

Swali langu ni applicable kwa mhanga yeyote wa continuous infidelity bila kujali jinsia.

Nimeuliza nilivyouliza kutoka kwenye standpoint ya mwanaume...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…