LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
- Thread starter
- #241
...I hate being judgemental, lakini kuna mengi yanajieleza humu...
Huwezi kumkuta mwanamke ukajiaminisha ukishamuoa atabadilika tabia.
Huyu braza-kaka kuna kila dalili alitumia jeuri ya faranga zake kumkwapua binti kwa mtu.
Sasa ile methali "mla kuku wa mwenzie,..." miguu ndio inamuelea sasa.
...LD, haya yote aliyokwambia ndio ishara za nia yake kwako.
"Wakey, wakey...!!!"
Utakujashtukia unaitafuta shuka ingali kushakucha.
He's 47yrs old, ana enough experience nini analotaka kufanya.
Hana haja ya kuku-consult mambo haya ila kukupima "alliance" yako kwake.
Welcome to the men's world
Mheshimiwa Mbu, nimekusikia, nayafanyia kazi accordingly.
Hiyo red hapo, huwa natoaga shikamoo aiseee!!!