Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

...I hate being judgemental, lakini kuna mengi yanajieleza humu...
Huwezi kumkuta mwanamke ukajiaminisha ukishamuoa atabadilika tabia.
Huyu braza-kaka kuna kila dalili alitumia jeuri ya faranga zake kumkwapua binti kwa mtu.
Sasa ile methali "mla kuku wa mwenzie,..." miguu ndio inamuelea sasa.

...LD, haya yote aliyokwambia ndio ishara za nia yake kwako.
"Wakey, wakey...!!!"
Utakujashtukia unaitafuta shuka ingali kushakucha.

He's 47yrs old, ana enough experience nini analotaka kufanya.
Hana haja ya kuku-consult mambo haya ila kukupima "alliance" yako kwake.
Welcome to the men's world

Mheshimiwa Mbu, nimekusikia, nayafanyia kazi accordingly.
Hiyo red hapo, huwa natoaga shikamoo aiseee!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tatizo kubwa hapa ni maambukizi ya ukimwi.Wahenga walisema 'wema usizidi uwezo' na 'mchelea mwana kulia mwisho hulia yeye' vinginevyo huyu bwana azidi kusali na kuomba ili babu wa loliondo azidi kuwa hai maana mwisho wa siku huyu mama ataleta janga ndani.
 
kumbuka kuwa katika hivyo viapo pia,
mlisema kuwa mtakuwa pamoja katika,
shida na raha!!!!!!

Sawa, shida na raha lakini siyo karaha za kuhatarisha maisha ya mwenzio kwa tamaa zako....
 
...mtumeeee! ....
St R.R na The Finest, mlipuko wapi huo?
"Mbagala" au "Gongo la Mboto?"

Naacha kuchangia aisee...sasa hivi nasoma tu...:first:
 
na wote tusali maana usiyoyajua ni sawa na usiku wa kiza.

Tatizo kubwa hapa ni maambukizi ya ukimwi.Wahenga walisema 'wema usizidi uwezo' na 'mchelea mwana kulia mwisho hulia yeye' vinginevyo huyu bwana azidi kusali na kuomba ili babu wa loliondo azidi kuwa hai maana mwisho wa siku huyu mama ataleta janga ndani.
 
...HA HA HA!...
LD, haki ya nani nimekusoma kwa herufi kubwa.
Nice one, ha ha ha

Shauri yako, angalia usiingie chaka.
Manake ukweli na ujua mimi kuliko mtu mwingine yeyote hapa.
Cha msingi nilichokuwa nakihitaji nimeshakipata, na nimeshakifikisha kwa mwenye mahitaji ya ushauri.
Mbarikiwe wote.
 
Akishammwaga..kama humtaki njoo utuambie tujipange
 
Shauri yako, angalia usiingie chaka.
Manake ukweli na ujua mimi kuliko mtu mwingine yeyote hapa.
Cha msingi nilichokuwa nakihitaji nimeshakipata, na nimeshakifikisha kwa mwenye mahitaji ya ushauri.
Mbarikiwe wote.

Amen,
na wewe pia LD.
Thanks for the Topic of the Day.

...msalimie kaka....!!!
AMEN!
 
Shauri yako, angalia usiingie chaka.
Manake ukweli na ujua mimi kuliko mtu mwingine yeyote hapa.
Cha msingi nilichokuwa nakihitaji nimeshakipata, na nimeshakifikisha kwa mwenye mahitaji ya ushauri.
Mbarikiwe wote.

LD usisahau feedback lol haha haha maskni ukute dume zima limesamehe tena tutalidharau!! mwambie asikilize wimbo wa huu

Last edited by a moderator:
LD usisahau feedback lol haha haha maskni ukute dume zima limesamehe tena tutalidharau!! mwambie asikilize wimbo wa huu

Ha ha ha ha, MR, nimwambie aje huko umpige shule nini??
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, MR, nimwambie aje huko umpige shule nini??

Hahaha tena shule ya nguvu kwanza nitaanza kumpiga makofi kwann atomb*** mara hote hizo anamsamehe lol anajitia aibu bwana
 
Back
Top Bottom