Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Kuna maufundi wanagawa kule Bwagamoyo ni balaaa unaweza kujikuta unambeba mtu mgongoni :lol::lol::lol:
 
Hapa cha kushukuru mungu ni kwakuwa huyo,
umemfumania live, au unmemuona live zaidi ya mara moja,
kuna wengine wanachakachua huko nje kimya kimya na bado wanasonga mbele na ndoa zao,
je hapo napo vipi?

Well yeye amepata kujua kwahiyo achukue hatua!!Hao wasifahamu ni story nyingine!!!
 
...kwenye red patamu hapo.
"...na aliye msafi awe wa mwanzo kutupa jiwe!"
LD jibu hilo!

...duuu, nimejichokea mie.
ama mstaafu hapa umepigilia msumari kwenye jeneza.

Dah, na hiki ndicho kinachouma zaidi Mbu,
Kwa maana ingine kama nyie wote mnacheat inabidi msameheana tu sio?
 
Kuna maufundi wanagawa kule Bwagamoyo ni balaaa unaweza kujikuta unambeba mtu mgongoni :lol::lol::lol:

Hahahhah....kwahiyo labda kaka wa watu kashafanywa zoba!!Poleni wakina baba maana mna kazi....anzisheni maandamano ya kupinga swala zima la BWAGAMOYO!!!
 
mie nampeleka kwa babu Loliondo maana atakuwa kaugua kaugonjwa sugu
 
Na kama akikukosea mara saba katika siku moja na kurudi kwako mara saba akisema natubu, msamehe.
 
Reactions: LD


Haya babu DC.
Nimekuelewa kwa kweli.
 
Achilia waliokuumiza usihukumu nanyi hamtahukumiwa, achilia nayi mtaachiliwa. Ukiachia na kusamehe wale wote waliokuumiza moyoni mwako, roho yako itakuwa salama.
 
Reactions: LD

Asante dada mtamu!
Wao twawasamehe kila siku na hawakomi.

Kwa wanaume JF.
Ikiwa wewe unatembea sana nje ya ndoa siyo ajabu na mkeo.mwanamke wako naye akatoka nje.Unachokiona chafaa kuliwa huko nje naye ataona chafaa. Kuna kitu cha kisaikolojia hapa. Mtu unapomsaliti mwenzio hata mara moja ule "mzimu" lazima utake na upande wa pili.Uiza wanaotembea nje wana maisha gani ya mahusiano.Utagudua wana maishu kibao ya kukoseana uaminifu.Kumaliza hili mnatakiwa muombewe hilo. pepo liwatoke.

LD...huyo alokuuliza unamjua vizuri?Ana tabia gani? Ana macho miamia?
 
Reactions: LD

Kwani wewe huwa husamehi hata mara moja?
Hebu chukua nafasi ya huyo mwanamke wewe, ungependa ufanyiwe vipi, kwa kosa la kwanza??
 
Mimi naona wote wanaibiana tu lakini inakua bahati mbaya kwa mwanamke kufumaniwa. Hiyo ni sawa sawa na watu wawili kuiba sukari kwa time tofauti halafu mmoja atumie kioo kufuta punje za sukari kwenye mdomo na mwingine ajifute kawaida. Then after sometime sukari inaisha hapo ndio waanza kuulizana eventually, aliejifuta kawaida anakamatwa na punje za sukari karibu na mdomo wake. Definitely atamsamehe kwavile wote wezi. So hapo mmoja wao ndio anajua kwamba wote wezi halafu mwingine anajua mwenzie sio mwizi hadi hapo bcoz hajamfumania. It is just a matter of time factor.
Kwa mwanaume ambae sio mwizi kweli hawezi vumilia mara ya pili, he will just deform you! Hapo the bottom line is wote wezi.
 

WeWE na wale wote mnaosema hamsamehi, mko waaminifu100%
 

Sio kivileeeeeeee!!! Kwa upeo wa ufahamu wangu lakini.
Kwa sababu kama walivyosema hapo juu, huwezi kuisemea nafsi ya mtu sana>
Hebu angalieni moja ya majibu aliyokuwa ananipa wakati tunaongea naye.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
 
huyo rais haruhusiwi kugombea mihula mitatu ,ije kuwa kuibiwa waifu wako mara tatu? khaaa! huyo jamaa inaonesha unaweza ukamwambia "niitie mkeo" na "akamuita" . nashangaa huyo mke ana dental formula yake kamili na anapeta mpaka mida hii.
 


Haya ni majibu ya huyu kaka, kuhusu uaminifu upendo wake kwa mke wake.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…